We’ve updated our Terms of Use to reflect our new entity name and address. You can review the changes here.
We’ve updated our Terms of Use. You can review the changes here.

Vijana Wanataka Kazi

by Flier

/
  • Streaming + Download

    Includes unlimited streaming via the free Bandcamp app, plus high-quality download in MP3, FLAC and more.
    Purchasable with gift card

      $1 USD  or more

     

lyrics

Yea, yea, yea, yeah
Baba nitafutie kazi huko serikali
Ka kuna ka nafasi niwekwe pahali
Aki ya nani sitaambia mtu huku
Baba shida yangu tu ni ya mapato
Si unishikanishe na ka Parastatal
Wakiniita tutaonana kando

Vijana wanataka kazi
Wana elimu, nguvu na vipaji
Lakini Kenya hii si kumejaa wajuaji
Kupata kazi huku ni roketi sayansi
Vijana wanataka kazi
Kwani maisha ngumu bila kazi
Sasa Nairobi mji umejaa majambazi
Ni wengi wanategemewa nyumbani
Wafanye aje?

Mama nieleze wapi naweza ni ka apply
Je kuna kandarasi tunaezawai?
Nikuulize, si unajuanga mtu huku?
Mama, mambo yako nitakuona hii weekend
Mi sina noma na kugawa Per diem
Weh wakumbushe tu nipostiwe huku

Vijana wanataka kazi
Wana elimu, nguvu na vipaji
Lakini Kenya hii si kumejaa wajuaji
Kupata kazi huku ni roketi sayansi
Vijana wanataka kazi
Kwani maisha ngumu bila kazi
Sasa Nairobi mji umejaa majambazi
Ni wengi wanategemewa nyumbani
Wafanye aje?

Na sikupenda kwetu ni vile hali
Inaleta pressure ni kitu gani hii
Sikupenda kwetu ni vile hali
Inaleta pressure ni kitu gani
Kupata kazi imekua kazi
Wasichana wanataka mtu anakazi
Watoto wanataka NAN, wipes na diapers
Maisha kweli ni ngumu bila kazi

credits

released July 7, 2023
Written, Produced, Mixed & Mastered by Flier

license

all rights reserved

tags

about

Flier Nairobi, Kenya

Purveyor of all things fly

contact / help

Contact Flier

Streaming and
Download help

Report this track or account

If you like Flier, you may also like: